Hawa
jamaa wanapokuja na njiwa au kuku uwanjani wanamaanisha nini?, au ndio
mikwara kwa wapinzani?. Lakini njiwa hawa huwa hawaonekani pale timu
inapofungwa. Unaanzaje
kumwambia shabiki kama huyu, mwenye mapenzi makubwa na klabu yake
ahamie timu nyingine. Lakini wapo watu wanaendesha klabu watakavyo,
wanasahau kuwa kuna uwepo wa watu wenye hisia kali kama huyu jamaa.
Unamtesa
sana unapoleta longolongo nyingi kwenye mambo ya msingi yahusuyo timu.
Usishangae kumuona kazimia au kazirai kwasababu ya mtu mmoja kuharibu
mambo.
0 maoni:
Post a Comment