Mkuu
wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Adv. Anthon Mavunde akizungumza
wakati wa uzinduzi wa mashindano ya mpira wa Miguu kuwania Kombe la DC
na kushirikisha timu 24 kutoka maeneo mbalimbali ya Wilaya hiyo jana.
Timu
za Mpwapwa Academy na Kota FC zikizubiri kukaguliwa na mgeni rasmi.
Katika mchezo huo wa ufunguzi Kota FC wqalishinda goli 3-2.
DC akikaribishwa kusalimiana na wachezaji.
Mdhamini wa michuano hiyo ya DC Cup 2015, Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Anthony Mavunde akisalimia wachezaji wa Kota FC.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Anthony Mavunde akisalimia wachezaji Mpwapwa FC
Wachezaji wa Mpwapwa FC wakiwa tayari kuanza pambano lao.
DC Mavunde akipata maelezo kutoka kwa viongozi wa mpira Mpwapwa.
0 maoni:
Post a Comment