Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya
akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa kampeni
kabambe ya Airtel inayotoa ofa ya intaneti bure ijulikanayo kama ‘Na
Like asubuhi’, katika hafla iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni
hiyo jijini Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa
Airtel, Levi Nyakundi na (kulia) ni Meneja wa Kitengo cha Huduma za
Intaneti, Gaurav Dhingra.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano Mallya
(katikati), ni Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Levi Nyakundi (kushoto)
na Meneja wa Kitengo cha Huduma za Intaneti wa kampuni hiyo, Gaurav
Dhingra wakionyesha ishara dole wakati wa uzinduzi wa kampeni kabambe
ya Airtel inayotoa ofa ya intaneti bure ijulikanayo kama ‘Na Like
asubuhi’, katika hafla iliyofanyika katika makao makuu ya kampuni hiyo
jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa Kitengo cha Huduma za Intaneti, Gaurav Dhingra akifafanua
jambo wakati wa uzinduzi wa kampeni kabambe ya Airtel inayotoa ofa ya
intaneti bure ijulikanayo kama ‘Na Like asubuhi’, katika hafla
iliyofanyika katika makao makuu ya kampunihiyo jijini Dar es Salaam
jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice
Singano Mallya akifatiwa na Mkurugenzi wa Masoko wa Airtel, Levi
Nyakundi.
0 maoni:
Post a Comment