Kipindi
cha pili dakika ya 52 Karim Benzema na kufanya 3-2 nao Schalke 04
kusawazisha bao kupitia kwa Leroy Sane dakika ya 57 na kufanya 3-3 Agg
ikiwa 5-3 kiujumla. Dakika ya 84 Klaas Jan Huntelaar aliifungia bao la
nne Schalke 04 na kufanya bao kuwa 4-3 Agg kuwa 5-4.Ronaldo akiwa aamini kile kilichotokea Uwanjani baada ya kufungwa bao 4-3 na bao la Ugenini kuwabeba!Wachezaji wa Schalke 04 wakishangilia moja ya bao lao dhidi ya Real kwenye Mchezo wa Marudiano.Bao..Klaas Jan HuntelaarCristiano Ronaldo alipoisawazishia bao dakika ya 45Klaas
Jan Huntelaar aliwapachikia Schalke 04 bao la pili dakika ya 40 kisha
Ronaldo tena akaisawazishia bao dakika ya 45 kwenye dakika za majeruhi
za kipindi cha kwanza na mtanange kwenda mapumziko zikiwa nguvu sawa ya
2-2.
Cristiano Ronaldo anaisawazishia bao Real Madrid bao kwa kichwa baada ya kupigwa kona katika dakika ya 25 kipindi cha kwanza.Schalke 04 ndio walioanza kutangulia kupata bao mapema dakika 20 ya kupitia kwa Christian Fuchs kwa kupiga shuti kali lililomfanya kipa Real Casillas kuupangulia nyavuni baada ya kumzidi nguvu.VIKOSI:
Real Madrid wanaoanza XI: Casillas, Coentrao, Varane, Pepe, Arbeloa, Khedira, Kroos, Isco, Bale, Ronaldo, Benzema
Akiba: Navas, Marcelo, Hernandez, Nacho, Modric, Jese, Illarramendi
Schalke wanaoanza XI: Wellenreuther, Howedes, Matip, Nastasic, Hoger, Neustadter, Fuchs, Barnetta, Meyer, Choupo-Moting, Huntelaar
Akiba: Wetklo, Uchida, Kaan Ayhan, Sobottka, Goretzka, Sane, Kehrer Toni Kroos and Cristiano Ronaldo hand over a cheque to the Red Cross before kick-off
Mashabiki wakiingia Uwanjani Bernabeu tayari kwa kipute

0 maoni:
Post a Comment