Mkurugenzi
wa Hospitali ya Rufaa kanda ya Mbeya, Dk. Mpoki Ulisubisya akiwaongozwa
Wakuu wa Mikoa ya Mbeya na Rukwa kuelekea Wodini kumjulia hali Mtoto
Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana
kijijini kwao juzi.
Mtoto
Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana
kijijini kwao juzi akiwa amelala kitandani akiendelea kupatiwa matibabu.
Mkuu
wa Mkoa wa Rukwa Mhandisi Stellah Manyanya akiwa anamwangalia kwa jicho
la huruma Mtoto Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu
wasiojulikana na kutokomea nacho akiwa amelazwa katika Hospitali ya
Rufaa ya Mbeya.
Wakuu
wa Mikoa ya Mbeya na Rukwa sambamba na viongozi wa Chama cha Albino
Mkoa wa Mbeya wakiwa wameinamisha nyuso zao huku wakisali kuwaombea watu
wenye ulemavu wa ngozi ili wasipate madhara baada ya kumtembelea Mtoto
Baraka aliyekatwa kiganja cha mkono wa kulia na watu wasiojulikana
kijijini kwao juzi.
Mama
mzazi wa mtoto Baraka,Prisca Shabani akiwa na jeraha kichwani baada ya
kupigwa na watu waliomkata kiganja mtoto wake, akiwa anawasikiliza wakuu
wa mikoa ya Mbeya na Rukwa waliomfika kuwajulia hali katika Hospitali
ya Rufaa ya Mbeya wanakopatiwa matibabu.
.Waandishi
wa habari wakichukua maelezo kutoka kwa wahanga wa tukio la kukatwa
kiganja kwa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino).
0 maoni:
Post a Comment