Sunday, June 14, 2015


Paul Scholes, Andy Cole wakifurahia pamoja na Louis SahaWimbo kabla ya MechiManahodha wa Timu  Paul Scholes na Paul Breitner wakiingia UwanjaniKikosi cha Man United, akiwemo Paul Scholes, Edwin van der Saar, Dwight Yorke na wengine kwenye mchezo uliowakutanisha Magwiji hao wa soka na kucheza mchezo dhidi ya wajerumani Timu ya Bayern Munich(Magwiji) kwenye Uwanja wa Old Trafford.
Andy Cole akichuana na Mchezaji gwiji wa Bayern Munich Daniel Van BuytenPark Ji-Sung akituliza mpira kiuzuriLuis Saha ndie aliyeifungia Man United bao la kwanza.
Kwenye Mechi ya Hisani iliyochezwa hii Leo huko Old Trafford, Malejendari wa Manchester United wamewatwanga wenzao wa Bayern Munich Bao 4-2 mbele ya Mashabiki 50,128.
Mwaka Jana kwenye Mechi kama hii iliyochezwa huko Allianz Arena Jijini Munich, Timu hizi zilitoka Sare ya 3-3.
Katika Mechi ya Leo, Mabao ya Man United yalifungwa na Luis Saha, Dakika ya 9, Dwight Yorke, 39, Andy Cole, 45, na Jesper Blomqvist, 83, wakati yale ya Bayern yalifungwa na Zickler , Dakika ya16, na Tarnat, 42.
Luis saha akipongezwa na Andy coleMchezaji wa zamani wa Bayern Alexander Zickler akichuana na Jaap Stam Paul Scholes akiendesha Mchezaji wa zamani wa Bayern Alexander Zickler ndie aliyeipatia bao la kwanza Bayern MunichDwight Yorke aliipa bao la pili Man United na kufanya 2-1Dwight Yorke akishangilia bao lakeWakipongezanaPhille Neville akiachia shutiMichael Tarnat aliifungia bao la pili Bayern MunichWakipongezana na Paulo SergioMichael Tarnat akifurahia bao lake
Ji Sung park akibanwaAndy Cole lifunga la tatuScholes akifanya yakeQuinton Fortune akishangiliaJesper dhidi ya Robert Kovac

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog