Sunday, June 14, 2015


Bao za Egypt zilifungwa kipindi cha pili baada ya kwenda 0-0 kipindi cha kwanza kwenye mchezo wa Group G. Bao za Egypt zilifungwa na Rami Rabia dakika ya 60, Bassem Morsi 64, Mohamed Salah 69.
Taifa Stars ilionekana kuzidiwa hasa kipindi cha pili ambapo muda mwingi ilikuwa ikishambuliwa na Wamisri walioonekana kuwa na njaa ya ushindi kwa muda wote wa mchezo kutokana na kutopata goli kwenye kipindi cha kwanza.Stars itakuwa na kibarua kigumu kwenye kundi lake kutokana na kupoteza mchezo wake wa kwanza na hali inaonekana kuwa mbaya zaidi kutokana na aina ya timu ambazo imepangwa nazo kwenye kundi moja.
Mbali na Misri, Stars ipo kundi moja na Nigeria pamoja Chad.
VIKOSI:
Kikosi cha Egypt:
Ahmed El-Shennawi, Mohamed Abdel-Shafi, Ahmed Hegazi, Rami Rabia, Hazem Emam, Ibrahim Salah, Mohamed Elneny, Mahmoud 'Kahraba', Mohamed Salah, Mohamed El-Gabbas, Ahmed Hassan Mekki 


RATIBA/MATOKEO
Sunday 14 June
Mozambique 0-1 Rwanda (Group H)
Scorers: Ernest Sugira 3
Ethiopia 2-1 Lesotho (Group J)
Scorers: Gatoch Panom 68, Saladin Saed 78 /
Cameroon 1-0 Mauritania
Scorers: Vincent Aboubakar 90
DR Congo 2-1 Madagascar (Group B)
Scorers: Mubele Ndombe 57, Kimuaki Mpela 78
Congo 1-1 Kenya (Group E)
Scorers: Prince Oniangue (pen.) 31 / Paul Were
Niger 1-0 Namibia (Group K)
Scorers: Soulemane Sacko (pen.) 39
Equatorial Guinea 1-1 Benin (Group C)
Scorers: Emilio Nsue 48 / Stephane Sessegnon 45
Togo 2-1 Liberia (Group A)
Scorers: Emmanuel Adebayor 89 / William Jebor 43
Ghana 7-1 Mauritius (Group H)

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog