Jack Wilshere dakika ya 73 aliifungia bao la kuongoza England kwa kufanya 2-1dhidi ya Slovania. Bao la tatu lilifungwa na Nahodha wa Timu hiyo Wayne Rooney katika dakika za mwisho dakika ya 86 huku Slovenia wakifungiwa bao la pili kupitia kwa Nejc Pecnik dakika ya 84. Jack Wilshere aliisawazishia bao England kipindi cha pili dakika ya 57 na kufanya 1-1 wakiongozwa na Mwamuzi Undiano Mallenco. Kepteni wayne Rooney akitoa maelekezo Wayne Rooney akiachia shuti kaliRooney akijiuliza baada ya kuona wako nyuma ya 1-0Slovania wakishangilia bao lao 1-0 kipindi cha kwanza kilimalizika!Wayne Roone akijiuguza ankle mguu wake wa kuliaGally Cahill akichuana na Milivoje NovakovicJack wilshere akipambana Milivoje Novakovicndie aliyewafungia bao la kuongoza kipindi cha kwanza dakika 37 na kwenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Timu ya Taifa ya England.Kokosi cha Timu ya Taifa ya England kilichoanza dhidi ya SloveniaKikosi cha Timu ya SloveniaRaheem Sterling akipagawa baada ya kukosa nafasi ya wazi kufunga bao
VIKOSI:
England: Hart; Jones, Cahill, Smalling, Gibbs; Henderson, Wilshere, Delph; Sterling, Rooney, Townsend.
Slovenia: Handanovic; Brecko, Ilic, Cesar, Jokic; Mertelj, Kurtic; Kampl, Ilicic, Kirm; Novakovic.Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya England Bw. Roy HodgsonAndros TownsendWayne Rooney akiwaongoza wenzake Ljubljana kwenye Uwanja wa Stozice Stadium
0 maoni:
Post a Comment