Meneja wa West Bromwich Albion Tony
Pulis amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Februari Ligi England
Barclays Premier League ambaye alichaguliwa kukinoa Kikosi hicho tangu
Mwezi Januari mwaka huu 2015 na kuiongoza Timu hiyo pasipo kufungwa
mwezi Februari.
Straika wa West Brom Brown Ideye akishangilia walipoitandika Swansea City bao 2-0 mwezi huo Januari na hapa akishangilia na mwenzie Morrison.
Tony Pulis ameiongoza West Brom na Mwezi jana Januari hakufungwa hata bao moja.
Straika wa West Brom Brown Ideye akishangilia walipoitandika Swansea City bao 2-0 mwezi huo Januari na hapa akishangilia na mwenzie Morrison.
0 maoni:
Post a Comment