Monday, September 22, 2014



Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Stamina na Ney wa Mitego wakilishambulia jukwaa mbele ya umati wa wakazi wa mji wa Morogoro mapema jana ndani ya uwanja wa Jamhuri.

Msanii wa Bongo Fleva Vanessa Mdee a.k.a V-Money akitumbuiza mashabiki waliokuwa wamefurika kwenye Uwanja wa Jamhuri Morogoro kwenye Tamasha la Fiesta 2014.

Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake.

Vanessa Mdee akipagawisha jukwaani.

Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.

Mashabiki wakishangweka

Makomando wakiwajibika jukwaani hapo.

Ommy Dimpoz akiimba na mmoja wa mashabiki aliyekuwa akiimba kwenye nafasi ya Vanessa Mdee katika wimbo wa Me & U.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog