Bondia
Saleh Said wa Magereza 'kulia' akioneshana umwamba na Sudi Mohamed wa
Mavituzi wakati wa mpambano wa kumi bora yanayoendelea kila jumamosi
katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam Said alishinda
mpambano huo
Bondia
Iddi Juma wa Midizini akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na
Jumanne Mashombo wa Ndame wakati wa mpambano wa kumi bora uliofanyika
mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa Manyara Park Mahombo
alishinda kwa point
0 maoni:
Post a Comment