Frank Lampard alikataa kushangilia baada ya kuisawazishia bao Manchester City dhidi ya klabu yake Chelsea aliyoitumikia karibu miaka 13.
Lamapard akipongezwa na David Silva pamoja na Jesus Navas, a,bapo swala la kushangilia kawaachia wenzake!
Lampard akitupia na kufunga bao usawa wa penati
Andre Schurrle akishangilia bao lake kwa Chelsea kipindi cha pili kwenye uwanja wa Etihad leo hii walipotoka sare na wenyeji wao Man City.
Schurrle akifunga bao huku akiwa anaangaliwa na Eden Hazard kama kipa Joe Hart ataweza kuutoa lakini hatimaye ikawa bao na kuwa 1-0 dhidi City.
Eliquim Managala kaweka kizuizi lakini mambo yakawa tofauti!
Schurrle akishangilia mbele ya Umati wa mashabiki kwenye Uwanja wa Etihad.
1-0 Schurrle akishangilia mbele ya wapiga picha..
Pablo Zabaleta akioneshwa kadi nyekundu na mwamuzi Mike Dean baada ya kukwaruzana na staa Diego Costa kwenye kipindi cha pili.
Zabaleta akikwaruzana na Diego Costa
Zabaleta kimya kimya akitoka nje ya Uwanja na kuwaacha Mtu 10 City.
John Terry dhidi ya Edin Dzeko huku nae Cesar Azpilicueta akiruka juu kwa juundani ya box
wachezaji watatu wakimkaba Nemanja Matic, James Milner kulia Fernandinho na Vincent Kompany
Edin Dzeko na Vincent Kompany wakimkaba Diego Costa pamoja na Branislav Ivanovic
0 maoni:
Post a Comment