Miss Redd's Kagera 2014 Jackline Kimambo kwenye pozi ya picha baada ya Kutangazwa Mshindi usiku wa kuamkia leoMshindi
wa Taji la Redd's Miss Kagera Jackline Kimambo(katikati) kwenye picha
ya pamoja na mshindi wa pili na watatu ambapo mshindi wa pili ni Nyangi
Warioba na watatu ni Faudhia Haruna(kushoto).Babylove
Kalala (kulia) akimvisha taji Miss Redd's Kagera 2014 Jacline
Kimambo(katikati) shindano lililofanyika usiku huu katika Ukumbi wa
Lina's Night Club Bukoba Mjini.
Mshindi wa Miss Redd's mwaka 2012 Babylove Kalala ndie aliyemvalisha Taji Miss Redd's Kagera 2014
Picha za Pamoja zilipigwa za washindi
Jackline Kimambo(katikati) Mshindi wa Redd's Miss Kagera 2014, kulia ni mshindi wa pili Nyangi Warioba na (kushoto) ni Faudhia Haruna kwenye picha ya pamoja.
Warembo walipokuwa wakitoa burudani ya ufunguzi.
Jumla ya warembo nane walichuana
Warembo wakitoa Burudani yao ya Onesho la Ufunguzi Jukwaani.
Mgeni Rasmi (kushoto) Bw. Amimu Kangezi-Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mkoa Kagera na (kulia) ni Kiongozi wa Utamaduni hapa Kagera
Warembo wakitoa Burudani ya Ufunguzi
Sharobaro Wakihaya kutoka kundi la Futuhi la (Star Tv) akipagawisha Wahaya wenzake katika Usiku wa Redd's Miss Kagera 2014
Ilikuwa Balaa sana!! Tajiri wa Kigoma nae alikuwepo!Kwa kuchekeshaa tuu!! Huu ndio mtambo wa kuchomoa mbavu na kuanika 32 nje!!
Vazi la Ufukweni
Mshiriki Miss Redd's Kagera 2014 Tete Augustine
Warembo wakionesha VaziUbunifu
Furaha kwa Mashabiki wao! Tabasamu
Baadhi ya Wapenzi wa Miss Redd's wakifuatilia kwa karibu Mchuano huu wa kmpata Mwakilishi wa Mkoa wa Kagera 2014
Majaji wakiumiza kichwa kutafuta tano bora, kutoka kushoto ni Jaji Abera Kamala, Mr. Jay Buberwa na kulia ni Jaji Lilian PeterWarembo wa Miss Redd's Kagera 2014 waliobahatika kuingia Tano Bora-"Top 5"
Baadhi ya Dadaz wakifuatilia nao kwa karibu wadogo zao wanavyo chuana jukwaaniWakina Dada wa Kundi la Dreams Girls kutoka Nchini Uganda walikuwepo kutoa Burudani naoKundi hili linataba sana na nyimbo mablimbali zikiwemo za Wine, Weekiend, Dance overnight, Wandekangawo na nyingine kibao.Hatari lakini salama!Kibao cha jigy jigy kikishambuliwa na wenyewe jukwaani!! Wadau wa Miss redd's wakichukua na Kumbukumbu na wengine furaha zipo 120, Vunjika mbavu!! Kutoka kwa Mwanahutuhi!Unaweza ukajizuia kuona hata kucheka!! Macho yoote ylikuwa mbele!Junior Mwemezi akichukua kumbukumbu za Video kwenye Ukumbi wa Lina's Night Club, Usiku wa Redd's Miss Kagera 2014.Picha ya Pamoja na Mgeni Rasmi (kushoto) Bw. Amimu Kangezi-Mwenezi wa Chama cha mapinduzi Mkoa Kagera.
0 maoni:
Post a Comment