Tuesday, June 3, 2014


Kikosi cha timu ya soka ya Panone fc ya Mkoani Kilimanjaro.
Wachezaji wa timu ya Panone fc ya mkoani Kilimanjaro wakishangilia baada ya kuifunga tmu ya Town Small Boys na kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza.

Nderemo na shangwe

Furaha ya kutinga daraja la kwanza

Sapota wa Panone fc mkoani Mbeya wakishangilia mara baada ya timu hiyo kutinga ligi daraja la kwanza.

Mmoja wa wajumbe wa kamati ya ushindi ya Panone fc Shabani Machivya akishangilia mara baada ya timu yake kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza.



Mashabiki wa timu ya soka ya Panone fc mkoani Mbeya wakishangilia baada ya timu hiyo kufanikiwa kutinga ligi daraja la kwanza.

Na Dixon Busagaga wa Globu
ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog