Tuesday, June 3, 2014


Heartbreak: Colombian striker Radamel Falcao will miss the World Cup in BrazilStraika hatari Radamel Falcao ameachwa kwenye Kikosi cha Wachezaji 23 kitakachocheza Fainali za Kombe la Dunia.
Falcao, anaechezea Klabu ya Monaco huko France, ndie alikuwa Mfungaji Bora wa Colombia akiwa na Bao 9 kwenye Mechi za Kundi la Marekani ya Kusini kwa ajili ya kufuzu Fainali za Kombe la Dunia walipomaliza Nafasi ya Pili nyuma ya Argentina na yeye kuwa nyuma tu ya Wafungaji Bora wa Kundi hilo, Luis Suarez na Lionel Messi.
Breaking the news: Falcao with manager Jose Pekerman at a press conference
Ingawa Falcao alikuwemo kwenye Kikosi cha Awali cha Wachezaji 30 ikiwa ni mara ya kwanza kwake kurudi Uwanjani tangu Januari alipofanyiwa operesheni ya Goti, alishindwa kuonyesha kama yuko fiti na atakuwa tayari kwa ajili ya Fainali za Kombe la Dunia.
Staying behind: Amaranto Perea (left), Luis Muriel (second left) and Falcao (right) were all left out
Huko Brazil, Colombia wapo KUNDI C pamoja na Greece, Ivory Coast na Japan.

Kocha wa Colombia Pekerman akielezea kuhusu kikosi kinachoenda kushiriki kombe la Dunia Brazil 2014 huko Buenos Aires.Graphic: Colombia's final 23-man squad for Brazil. This image was posted by Seleccion Colombia on Twitter
COLOMBIA-KIKOSI KAMILI
Makipa: David Ospina (Nice), Faryd Mondragon (Deportivo Cali), Camilo Vargas (Independiente Santa Fe).
Mabeki: Camilo Zuniga (Napoli), Pablo Armero (West Ham), Cristian Zapata (Milan), Mario Yepes (Atalanta), Carlos Valdes (San Lorenzo), Santiago Arias (PSV), Eder Alvarez Balanta (River Plate).

Viungo: James Rodriguez (Monaco), Abel Aguilar (Toulouse), Carlos Sanchez (Elche), Fredy Guarin (Inter Milan), Juan Fernando Quintero (Porto), Aldo Ramirez (Morelia), Alex Mejia (Atleico Nacional), Victor Ibarbo (Cagliari), Juan Guillermo Cuadrado (Fiorentina).
Mafowadi: Jackson Martinez (Porto), Teofilo Gutierrez (River Plate), Carlos Bacca (Sevilla), Adrian Ramos (Borussia Dortmund).

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog