Thursday, June 12, 2014


UONGOZI wa jiji la Miami nchini Marekani limeupinga mpango wa nahodha wa zamani wa timu ya taifa ya Uingereza, David Beckham kujenga uwanja wa soka katika eneo la karibu ya fukwe za mji huo. Uongozi wa mji huo umedai kuwa mpango wa kujenga uwanja huo pembeni ya uwanja mkubwa wa mpira wa kikapu sio sahihi.Bold: An artist's impression of how the new stadium in Miami would have looked Beckham amekuwa akisafiri kwenda Miami kila mara katika miezi ya karibuni kwa ajili ya kuzinduka klabu yake ya soka itakayokuwa ikishiriki Ligi Kuu ya Soka nchini humo maarufu kama MLS. Kundi lake la kibiashara la Beckham Miami United limesema bado litaendelea kuomba eneo lingine mbadala ambapo wanatarajia kumaliza suala la uwanja kabla ya kuomba rasmi kibali cha kuzindua klabu hiyo.Spectator: David Beckham watched England play Honduras in Miami in a World Cup warm-up gameDavid Beckham alishuhudia mtanange wa England na Honduras wakati wa kujiandaa na kombe la Dunia linaloanza kutimua vumbi kesho Alhamis 12.Plans: The former England captain wants to start an MLS franchise in Miami

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog