Saturday, May 17, 2014


Jose Chameleone akiwa meneja wake mpya.
Jose Chameleone akiwa meneja wake mpya.
Msanii aliyejinyakulia tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki akitokea Uganda Jose Chameleone ameamua kuajiri meneja mpya katika kazi zake za sanaa.
Kwa mujibu wa Jose Chameleone Meneja mpya anaitwa Robert Jackson Nkuka. Meneja mpya amechukua nafasi ya aliyekuwa maeneja wake anayeitwa Sam Mukasa

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog