Saturday, May 17, 2014

Mb Doggy msanii anayetamba na wimbo wa baby mbona umenuna hivi sasa.
Mb Doggy msanii anayetamba na wimbo wa baby mbona umenuna hivi sasa.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Mbwana Mohamed Mb Doggy amekamilisha video ya wimbo wake mpya inayokwenda kwa jina la ‘Baby Mbona Umenuna’.
Video ya wimbo huo imetengenezwa na Abby Kazi, ambapo imekamilika wiki hii.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Qs Mhonda J Entertainment, Joseph Mhonda, amesema kwamba video ya wimbo huo imeandaliwa kwa kiwango cha juu ili kuwapatia burudani kamili wadau na mashabiki wa Bongo Fleva.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog