Monday, March 17, 2014


Top of the charts: Lionel Messi celebrates after scoring his record-breaking goal in the win
Leo Messi amefunga magoli matatu kwenye mechi kati ya Barcelona na Osasuna, magoli haya yamemfanya afikishe jumla ya magoli 371 akiwa na Barcelona na kumfanya awe mfungaji bora wa klabu hiyo. Kabla ya mechi ya leo Paulino Alcantara ndiye alikuwa mchezaji aliyefunga magoli mengi kuliko wote lakini magoli matatu ya Messi yamemfanya Muargentina huyu kuwa kinara wa kufunga magoli kwenye historia ya klabu ya Barcelona. Kwasasa Messi anaitafuta rekodi ya kuwa mchezaji mwenye magoli mengi kwenye ligi ya Hispania ambayo bado inashikiliwa na Telmo Zarra mwenye magoli 251 akiwa amemzidi Messi kwa magoli 18. Ikumbukwe magoli 371 ya Messi yanajumuisha mechi zote za Barcelona ikiwemo mechi za ligi, Uefa, Copa na mechi za kirafiki. Lakini magoli ya ligi pekee Messi ameshafunga 233 tu wakati mtani wake Cristiano Ronaldo ana magoli 171. 

Just another day: Messi walks away with the matchball at the final whistle
Messi akiondoka na mpira kama ukumbusho baada ya kufunga magoli matatu kati ya saba dhidi ya Osasuna.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog