Tuesday, November 3, 2015


Mchezaji wa Simba Hamis Kiiza(kushoto)akiwaonesha mashabiki wa timu yake mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi Milioni 1/- aliyokadhiwa na Meneja Uhusiano wa Vodacom Tanzania,Matina Nkurlu(kulia)ambao ni wadhamini wakuu wa lihi hiyo kwa kuibuka mchezaji bora wa ligi wa mwezi septemba wakati wa mechi ya timu hiyo na Majimaji iliyochezwa mwishoni mwa wiki ambapo timu yake ilishinda 6-1.Wengine katika picha wapili toka kushoto ni Meneja biashara wa TFF,Peter Simon na Ofisa Udhamini na Matukio wa kampuni hiyo,Ibrahim Kaude.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog