Monday, September 21, 2015

Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza (wa pili kulia) akishangilia sambamba na wachezaji wenzake baada ya kuifungia timu yake bao la tatu dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)

Beki wa Simba, Emery Nibomana (kulia) akichuana na mchezaji wa Kagera Sugar wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Hamis Kiiza akichini wakati wa harakati za kufunga goli.

Mshambuliaji wa Simba, Hamis Kizza akichuna na beki wa Kagera Sugar, Ibrahim Job wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Tumewashika...............

Hureeeeee
Raha ya ushindi........

Beki wa Kagera Sugar, Salum Kanon akijaribu kumzuia mshambuliaji wa Simba, Peter Mwalyanzi katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Kocha wa Simba, Dylan Kerry akisalimia na kocha mwenzake wa Kagera Sugar, Mbwana Makata.

Mshambuliaji wa Simba, Peter Mwalyanzi akichuana na kiungo wa Kagera Sugar, George Kavilla katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

Mwamuzi wa mchezo kati ya Simba naKagera Sugar, Abdallah Kambuzi kutoka Shinyanga akimkabidhi mpira mshambuliaji wa Simba, Hamis Kiiza baada ya kuifungia timu yake mabao matatu ‘hat trick’ katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog