Thursday, September 17, 2015

Ni mara nyingine tena kwa Timu ya Tanzania Prisons kupoteza dhidi ya Yanga Sc na kwa mabao yale yale ya 3-0. Leo hii ilikuwa Katika Uwanja wake wa Nyumbani Yanga na kuifunga Prisons bao 3-0 ambapo mpaka mtanange unamalizika Prisons walibaki wachezaji 10 baada ya Mwenzao kuoneshwa kadi nyekundu

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog