Wednesday, September 23, 2015


Good news kwa watu wa nguvu ambao +254 Kenya  inayatambua majina yao ambayo yako kwa wino mzito kabisa kwenye Industry ya Entertainment Kenya, wa kwanza ni  Annabel Onyango ambae ni Mwanamitindo staa kabisa kutoka Kenya… mwingine ni Marek Fuchs ambae ni Manager wa Group la Mastaa wakali kabisa, Sauti Sol.
Majina ya wawili hao, yani Annabel na Marek sasahivi wanazungumziwa tofauti, wamekuwa kwenye uhusiano wa Kimapenzi kwa zaidi ya miaka nane na sasahivi ninazo pichaz mtu wangu, uthibitisho tosha kabisa kwamba wao sasahivi ni mtu na mume wake.
Kama bado hujakutana nazo, unaweza kuzicheki hapa mwanzo mwisho pamoja na baadhi ya mastaa wa +254 waliokula mwaliko wa nguvu kabisa ikiwemo Sauti Sol wenyewe !!
Anna-1
Mwenye suti nyeupe ndio bwana Harusi mwenyewe, Marek Fuchs na nyuma yake ni Bibi Harusi, Annabel Onyango mwenyewe katika ubora wao.
anna-2
anna-8
Bien-Aimé Baraza, moja ya Mastaa wa Sauti Sol.. camera ikawanasa kwenye story na mrembo wake pembeni.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog