Saturday, September 5, 2015

Ugonjwa wa moyo ni ugonjwa ambao unawasumbua watu wengi, kwa wanasoka ugonjwa huu mara nyingi hufanya wastaafu soka ili kulinda maisha yao, iliwahi kumtokea uwanjani Fabrice Muamba wakati anachezea klabu ya Bolton, moyo wake ulisimama kufanya kazi kwa dakika 78, kwa mapenzi ya mungu na jitihada za madaktari walifanikiwa kuokoa uhai wake.
2BF38F8D00000578-0-image-a-3_1441325338346
Tukio hilo lilihitimisha maisha ya soka ya Fabrice Muamba akiwa na umri wa miaka 24 wakati huo, sasa imemtokea kwa mcheza tennes huyo wa Marekani Jack Sock ambaye Septemba 4 mtandao wa dailymail.com umeripoti mcheza tennes kustaafu US Open.Baada ya kuanguka kwa shock katika mechi dhidi ya Ruben Bemelmans.
2BF36BBD00000578-0-image-a-5_1441325405610
Jack Shock akiwa na umri wa miaka 22, anaingia katika list ya wanamichezo waliyowahi kupata matatizo ya moyo kati kati ya mchezo.
2BF36F9D00000578-0-image-a-9_1441325515207

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog