Monday, August 3, 2015



Christian Benteke akishangilia bao lake.
Bao za Liverpool zilifungwa na Benteke dakika ya 48 kipindi cha pili na lile la Ojo dakika za lala salama dakika ya 87. Bao la Swindon limefungwa na Obika dakika ya 63 kipindi cha pili mbele ya Mashabiki wapatao 14,591Roberto Firmino akiendeshaBenteke kwenye patashika leoBenteke tena...Emre Can akisimamishwa!Lazar Markovic akimiliki mpiraRoberto Firmino akiwa na kipa LawrenceChristian Benteke akitupia...Christian akipongezwa!Benteke akiwa na kipa LawrenceBenteke na mpira...Benteke akiwapongeza Mashabiki

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog