Monday, August 3, 2015


Kikosi cha BarcelonaKwenye Uwanja wa Stadio Artemio Franchi, Italy
Fiorentina wanaongoza bao 2-0 dhidi ya Barcelona, Mpaka sasa ni kipindi cha kwanza kinaendelea...Bao za Fiorentina zimefungwa na Mchezaji mmoja Federico Bernardeschi dakika ya 4 na lile la Federico Bernardeschi dakika ya 12.

Barcelona wana bao 1 lililofungwa na Luis Suárez dakika ya 17
.
Mtanange huo ulimazika dakika 90 kwa bao 2-1

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog