Friday, June 13, 2014



Eyeing each other up: Neymar and Luka Modric prepare to collide in Sao Paulo
Wakitazamana: Neymar na Luka Modric wakijiandaa kuruka juu  Sao Paulo.
 MWAMUZI Yuichi Nishimura hatausahau usiku wa leo baada ya kuwasaidia kwa kiasi kikubwa wenyeji Brazil kuvuna pointi tatu dhidi ya Croatia katika mchezo wao wa kwanza wa kombe la dunia mwaka 2014.
Mjapani huyo alimwacha Neymar aendelee kuwepo uwanjani baada ya kumpiga kiwiko Luka Modric katika kipindi cha kwanza, kabla ya kuwazawadia wenyeji penati nyepesi.

High ball: Neymar (front left) and Modric battle for possession... but the Brazilian appears to gain an unfair advantage
Mpira wa juu: Neymar (mbele kushoto) na Modric wakigombaniana mpira...lakini Mbrazil aliweza kwa njia isiyosahihi.

Pain game: Modric winces and falls to the floor after clashing with Neymar

Going down: Modric falls to the floor after feeling the full force of Neymar
Flashpoint: Croatia's furious players rush to referee Yuichi Nishimura as Neymar protests his innocence
Wachezaji wa Croatia wakimzonga Mwamuzi Yuichi Nishimura, huku Neymar akijitetea
Yellow peril: Nishimura shows Neymar yellow as Modric writhes on the floor

BRAZIL YAANZA KWA KUITANDIKA CROATIA 3-1, NEYMAR APIGA MAWILI NA KUKIMBIA KADI NYEKUNDU...OSCAR NAYE APIGA MPIRA MKUBWA MNO


Neymar the Redeemer: Brazil's No 10 strikes a pose after his second goal and looks like the famous statue in Rio
Spot on (just about): Neymar puts his penalty past Stipe Pletikosa despite the Croatia keeper getting a hand to it
Kikosi cha Brazil na viwango vyao: Julio Cesar 6; Dani Alves 5.5, Thiago Silva 6, Luiz 6, Marcelo 5.5, Paulinho 6, Gustavo 7, Hulk 6 (Bernard 68), Oscar 7, Neymar 8, Fred 6.5.
Wachezaji wa akiba: Jefferson, Fernandinho, Dante, Maxwell, Henrique, Ramires, Hernanes, Willian, Jo, Maicon, Victor.
Kikosi cha Croatia na viwango vyao: Pletikosa 6, Srna 6.5, Corluka 7, Lovren 6.5, Vrsaljko 6; Modric 7, Rakitic 7, Perisic 6.5, Kovacic 6 (Brozovic 62), Olic 6, Jelavic 6.
Wachezaji wa akiba: Zelenika, Pranjic, Vukojevic, Schildenfeld, Rebic, Sammir, Vida, Eduardo, Subasic.
A big hug from Big Phil: Luiz Felipe Scolari embraces Neymar following his equaliser for Brazil
 Luiz Felipe Scolari akimkumbatia Neymar baada ya kufunga bao la kusawazisha.

Running the show: Neymar (left) is jubilant after scoring Brazil's first goal of the World Cup
Neymar (kushoto)akishangilia bao lake la kwanza
Left foot forward: Neymar rifles in a shot from outside the box which sneaks into the corner

Despairing dive: Croatia goalkeeper Stipe Pletikosa fails to save Neymar's effort from the edge of the box
Kipa wa Croatia  Stipe Pletikosa akijaribu kuokoa shuti la Neymar lakini aliambulia manyoya tu
Long-range effort: Neymar's goal was from well outside the box
Arrowing in: Neymar's shot was powerful and accurate
Unexpected: Marcelo (second right) steers the ball beyond his own keeper Julio Cesar

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog