Tuesday, July 14, 2015

Manchester City have completed signing of Raheem Sterling, pictured with City's football director Txiki Begiristain, has completed his £49m move to Raheem Sterling akisani mkataba mpya na Klabu ya  Manchester City karibu na  Director  Txiki Begiristain.
Man City rasmi wamemnunua Raheem Sterling kutoka Liverpool kwa kulipa Ada ya Pauni Milioni 44 mbele na 5 kullipwa baadae.
Tangu Januari, baada ya kukataa Mkataba mpya wa Liverpool, Sterling amehusishwa na kuihama Liverpool licha ya kubakisha Miaka Miwili kwenye Mkataba wake uliokuwepo.
Meneja wa Man City, Manuel Pellegrini, amemsifia Sterling na kusema ni mmoja wa Washambuliaji bora Duniani.
Sterling alijiunga na Liverpool kutoka QPR Mwezi February 2010 kwa Ada ya Pauni 600,000 na sasa QPR watavuna Asilimia 20 ya Ada ya Uhamisho huu wa kwenda City.
The 20-year-old was pictured leaving a Manchester hospital after taking a step closer to completing his move
Raheem mwenye umri wa miaka 20 alionekana akitoka katika hospitali Manchester baada ya ukamilishaji huo wa upimwaji afya leo hii. Akiwa Liverpool ameichezea timu hiyo mara 129 na amefunga bao 23. Liverpool pia wamemtakia safari njema. Imesemekana Raheem sterling akiwa hapo Etihad atavaa jezi No. 7

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog