Tuesday, July 14, 2015

kufa1
Stori  za watu kutumia jeneza katika shughuli zao mbalimbali zimeendelea kutokea sehemu nyingi duniani..Millardayo.com iliwahi kuandika stori ya bibi harusi  kutumia jeneza kuingia nalo ukumbini  na nyingine ilimuhusu mwanafuzi kuingia kwenye mahafali yake akiwa ndani ya jeneza.
kufa2
Stori nyingine inayofanana na hizo imeingia kwenye headlines leo inatokea Singapore baada ya wapenzi kuamua kufunga ndoa yao huku wakitumia jeneza kama sehemu ya kuongeza mvuto kwenye sherehe yao.
kufa3
Jenny Tay, na  Darren Cheng, waliamua kunogesha sherehe yao baada ya kuona ni muhimu kwao kutokana na kufanya kazi ya mazishi kwa muda mrefu na kuamini kifo ni sehemu ya maisha ya binadamu hivyo ni jambo la kawaida kwao.
kufa4
Wamesema pia wameamua kufanya hivyo ili watu wengine waone kifo ni jambo la kawaida na ni sehemu ya kila mmoja kuwa ni lazima atapitia.
kufa5 

kufasita

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog