Tuesday, July 14, 2015


BINGWA mara nne wa dunia, Carl Froch ametangaza kustaafu ndondi.
Mbabe huyo mwenye umri wa miaka 38 ameshinda mataji ya WBC mara mbili enzi zake na pia amewahi kutwaa mataji ya WBA na IBF katika uzito wa Middle, akishinda jumla ya mapambano 33 kati ya 35, kati ya hayo 24 kwa Knockout (KO). 
Akizungumza na Sky Sports News, Froch amesema: "Kufanya uamuzi wa kustaafu ni mwaka sasa, lakini imenichumua muda mrefu sana kuseam, mtambo wa kupigana umeondoka, hauendi kama utarudi- Bado ni ngumu,".
Carl Froch amestaafu ndondi baada ya kushinda mapambano 33 kati ya 35 zikiwemo KO 24

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog