Tuesday, July 14, 2015


Makaribisho ya Kikosi cha Arsenal huko SingaporeKikosi cha Arsenal kilipata picha ya pamoja Singapore jet Quay Private TerminalMascot akiwakaribisha Arsenal Theo akiwa mbele.
Klabu 3 za Ligi Kuu England zitacheza huko Bara la Asia, Singapore, kugombea Kombe la Ligi Kuu Asia, 2015 Premier League Asia [Barclays Asia Trophy], pamoja na Kombaini ya Wenyeji kuanzia Jumatano hii.
Mashindano haya ya 7 yatazishirikisha Klabu za Arsenal, Everton, Stoke City na Kombaini ya Singapore.
Mechi zote zitachezwa ndani ya Singapore National Stadium, Mjini Singapore kuanzia Julai 15 hadi 18.
Katika Mechi za kwanza Everton itacheza na Stoke City na Arsenal kuivaa Kombaini ya Singapore.
Washindi wa Mechi hizo watacheza Fainali wakati Timu zilizofungwa zitacheza Mechi yao kusaka Mshindi wa Tatu.
Mzee Arsene Wenger tayari akiwa amevalia kisingapore tayariArsene Wenger akiteta na waandishi wa habari mara baada ya kutua Mjini SingaporeMashabiki wa Arsenal wakiwapungia mkono 

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog