Mabingwa: Nyota vijana wa Ujerumani wakishangalia baada ya kutwaa taji kwa kuifunga Ureno bao 1-0 katika mchezo wa fainali.
KIZAZI kijacho cha soka cha Ujerumani
kimefuata nyayo za kaka zao kwa kushinda kombe lingine la Ulaya la
vijana chini ya miaka 19.
Kiungo wa Hertha Berlin, alifunga bao pekee lililowapa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ureno huko Budepest.
Timu ya wakubwa ilitwaa kombe la dunia
nchini Brazil kwa kuifunga Argentina bao 1-0 katika mechi ya fainali
majira haya ya kiangazi nchini Brazil.
Sasa mataifa mengine yameanza kuwa na hofu baada ya kuona kizazi kijacho cha Ujerumani kinafanya mambo makubwa.
0 maoni:
Post a Comment