Alexis Sanchez akishangilia bao lake.Alexis Sanchez aliipachia bao na kufanya 1-0 dhidi ya timu ya Uturuki Besiktas kwenye dakika za majeruhi za kipindi cha kwanza baada ya Jack
Wilshere
wa Arsenal kufanya jitihada na kumwachia afunge Sanchez aliyekuwa sehemu
nzuri na kufunga bao hilo. Arsenal mpira huu hawakuumaliza 11 dakika ya
75 kipindi cha pili mchezaji wao Debuchy alipewa kadi ya njano ya pili na kuondoshwa kwa kadi nyekundu baada ya kufanya ndivyo sivyo.Patashika zikiendelea kipindi cha kwanza..Kimbiza kimbiza kila mchezaji akiunyatia kuupata mpira Jack Wilshere akisikitika baada ya kukosa bao huku akiwa kwenye nafasi nzuri katika dakika za mapema kipindi cha kwanza.Demba Ba (kulia) akiendesha.......Alexis
Sanchez kuanza katika mchezo wao kati ya Arsenal vs Besiktas na hii ni
baada ya kuumia kwa Olivier Giroud na sasa anarajiwa kuwemo katika
mtanange huu wa leo mchezo wa marudiano wa Champions League
unaotarajiwa kupigwa punde usiku huu. Mechi ya kwanza walitoka 0-0 huko
Uturuki.Podolski nae yumo...Meneja wa Arsenal, Arsene Wenger
Kocha Mkuu wa England Roy Hodgson (akiwa nyuma) nae akishuhudia kipute kwenye Uwanja wa Arsenal Emirates.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Monreal, Wilshere, Flamini, Oxlade-Chamberlain, Ozil, Cazorla, Sanchez.
Akiba: Martinez, Rosicky, Podolski, Chambers, Sanogo, Campbell, Coquelin.
Besiktas: Zengin, Koybasi, Franco, Gulum, Ramon, Hutchinson, Kavlak, Ozyakup, Pektemek, Sahan, Ba.
Akiba: Gonen, Kurtulus, Sivok, Tore, Uysal, Koyunlu, Tosun.
Refa: Pedro Proenca (Portugal)

0 maoni:
Post a Comment