Meneja
Bidhaa wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo (kushoto) akizungumza na
waandishi wa habari jijini Mwanza leo wakati uzinduzi wa tamasha la
muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi
kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kulia ni Mmoja wa
waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu
inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya
Serengeti Premium Lager. Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika
onyesho la leo ni, Diamond Platinum, Ommy Dimpos, Linah, Chenge, Temba,
Shilole, Ally Kiba, Mr. Blue, Mwana FA, Young Killer, Ben Pol,
Christian Bella, Roma, Ney wa Mitego, Mkubwa na wanae, Barnaba, Belle 9,
Rachel na Madee.
Mmoja
wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya
Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha
la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi
kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja
wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha
hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya
Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager.
Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza katika onyesho la leo ni, Diamond
Platinum, Ommy Dimpos, Linah, Chenge, Temba, Shilole, Ally Kiba, Mr.
Blue, Mwana FA, Young Killer, Ben Pol, Christian Bella, Roma, Ney wa
Mitego, Mkubwa na wanae, Barnaba, Belle 9, Rachel na Madee.
Mmoja
wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya
Serengeti Fiesta, Mr Blue akiimba moja ya nyimbo zake wakati wa uzinduzi
wa tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza
kutimua vumbi kesho katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Fiesta ya
mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia
yake ya Serengeti Premium Lager. Baadhi ya wasanii watakaotumbuiza
katika onyesho la leo ni, Diamond Platinum, Ommy Dimpos, Linah, Chenge,
Temba, Shilole, Ally Kiba, Mwana FA, Young Killer, Ben Pol, Christian
Bella, Roma, Ney wa Mitego, Mkubwa na wanae, Barnaba, Belle 9, Rachel na
Madee.
0 maoni:
Post a Comment