Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo alishinda kwa point |
Bondia Said Memba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Chokoraa alishinda kwa point picha na
Bondia Khalid Chokora kushoto akilusha konde kwa saidi Memba wakati wa mpambano wao chokoraa alishinda kwa point
Bondia
Thomas Mashali kulia akimrushia konde la mkono wa kulia bondia Mada
Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa
jijini Dar es salaam Maugo alishinda kwa point mpambano huo
Mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali wakipambana ulingoni
0 maoni:
Post a Comment