Thursday, February 6, 2014



Edison Cavani

Kocha wa Uruguay Oscar Tabarez, amesema kuwa washambulizi wa timu hiyo Luis Suarez na Edinson Cavani wapo katika umri bora wa kushamiri katika kinyanganyiro cha Kombe la dunia huko Brazil.
Tabarez anamatumaini kuwa kuwa washambulizi wake wanaujuzi na uwezo wa kutwaa kombe hilo baada ya kufuzu kwenye hatua ya nusu fainali katika kombe la duna la 2010.

Uruguay ambayo imewahi kushinda kombe hilo mara mbili iko katika kundi D na Costa Rica, Uingereza, Italia na wenyeji Brazil.
 
 Kikosi cha Uruguay
 
 
Miaka imebadilika na kuwa miezi na sasa ni miezi minne pekee , kabla ya mashindano ya kombe la dunia huko Brazil kuanza.


Makocha wanaendelea na maandalizi kuhakikisha timu zao zimekamilika idara zote ima ni safu ya ushambulizi ya kati na safu ya ulinzi kabla ya kipenga cha kuanza kwa kombe la dunia .

Kulingana na tafiti za ushabiki ,kombe la dunia ndilo lenya ufuasi mkubwa zaidi kote duniani .
 
Home is where the heart is: Poyet will be supporting Uruguay when they take on England on June 19 Gus Poyet kuwaongoza!

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog