Saturday, October 19, 2013

 
Elizabeth Michael(Lulu) ambaye ni star wa filamu anayetamba Swahiliwood ametoa ya moyoni mwake kwa kuwaombea na kuwatakia kila la kheri  Babu Seya na wanawe ambao kesi yao inatarajiwa kusikilizwa upya baada ya kukata rufaa. Lulu ameyasema hayo kwakuwa hata yeye tayari ameshayaonja maisha hayo magumu ya jela. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii star huyo mwenye mvuto aliandika maneno hayo hapo chini kuhusu wanamuziki hao ambao walifungwa maisha miaka michache iliyopita.
SOMA ZAIDI.......... "Ninaamini Mungu yupo...anasikia,anaona na ndiye mwenye kuhukumu kwa Haki...!!!!Dua zangu ziko pamoja na Mzee Nguza na Papii Kocha...!hakuna linaloshindikana mbele ya Mwenyezi Mungu...Kama anaweza kutoa Jaribu basi yeye pia ndo mwenye Uwezo wa kufanya Njia ya kutoka ktk jaribu Hilo...!Mwenyezi Mungu awasimamie katika rufaa yenu...!AMEN"


0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog