Saturday, October 19, 2013

clip_image003
Hit maker wa Song ya “Nikifa Kesho”, na “Number One”  Diamond Platnumz anatarajia kuondoka leo nchini kuelekea china ambako atafanya show huko katika mji wa Guangzhou. Msanii huyo kwa sasa anamuonekano mpya katika mikono yake ambayo inaonesha Kachora tatoo Bado haijafahamika kwa ni neno gani limeandikwa katika tatoo hiyo na inamaanisha nini kwake…….
DIAMOND3

clip_image003[7]
clip_image003[9]

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog