Sunday, January 8, 2017


Ligi ya Spanish Primera DivisiĆ³n, Mtanange wa Real Madrid umemalizika hivi punde na huku Vinara wa ligi hiyo Real Madrid wakiichakaza Bao 5-0 Timu ya Chini ya Granada.
 

Bao za Real Zimefungwa na
Isco (12', 31')
Karim Benzema (20')
Cristiano Ronaldo (27')
Casemiro (58')

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog