Wednesday, September 30, 2015


 Cristiano Ronaldo akishangilia bao lake baada ya kuifunga timu ya  Malmo kwenye Uwanja wa  Swedbank Stadium na huku likiwa bao lake la 500 kisoka, Dakika ya 90 pia aliipatia bao la pili Real Madrid

1-0 Ronaldo akishangilia

Ronaldo akizungukwa na wenzake kupongezwa baada ya kuweka historia kwenye maisha yake ya kisoka leo hii kwenye mchezo wa UEFA Champions Ligi
Cristiano Ronaldo alifunga bao dakika ya 29 na likiwa bao lake la 500 kisoka.  Dakika ya 90 Ronaldo alifunga tena bao la pili na mtanange kumalizika kwa bao hizo 2-1.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog