Monday, September 14, 2015


Kipa wa Sunderland alipofungwa na Ryan Mason bao la pekee kwenye Mtanange hii leo jumapili katika dakika ya za mwishoni kwenye Uwanja wao wa Nyumbani Stadium of  Light. Spurs wao huu ni ushindi muhimu sana kwao na wamepanda kutoka nafasi ya 17 waliyokuwepo na kutua nafasi ya 12 na wakipata pointi 6 kwa msimu huu mpya  2015/2016 na katika mechi tano.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog