Tuesday, September 22, 2015

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akihutubia kwenye mkutano huo wa kampeni za CCM leo hii jumatatu septemba 21, 2015.Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Ndugu Hamis Sued Kagasheki akiongea na Wananchi wa Jimbo lake la Bukoba Mjini leo. Mgombea Ubunge Bukoba Mjini. Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Mji wa Bukoba na Vitongoji vyake leo hii jumatatu septemba 21, 2015 kwenye Uwanja wa Gymkhana Bukoba mjini. Wananchi wa mji wa BUKOBA na vitongoji vyake wakiwa wamekusanyika kwenye uwanja wa GYMKHANA wakimsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli Wengine waliparamia miti ili waone mkanda vyema! kati ni Mh. Mwijage Mwijage akisalimia Wananchi na kuwapa neno! Fursa kwa wote! Burudani ikishika kasi
Sehemu ya wananchi wa mji wa Bukoba waliohudhuria leo katika viwanja vya Gymkhana Bukoba mkoani Kagera wakimsikiliza Dkt John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Diamond Platinumz akitoa Burudani kwenye Mkutano huo

Nyomi ya Watu Mwenyekiti wa ccm Mkoa Kagera Mama Buhiye akifunguka kwenye mkutano huo.
Wasafi!! Bushoke akiburudisha! Bukobaaaa Mpooo!!! Bushoke akiimba Twendeee! Viongozi meza kuu Mr. Blue akifunguka! Mh Temba na Chegge Mapanga shaaa!!

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog