Wednesday, August 19, 2015


Mabingwa wa Super Cup 2015 Athletico Bilbao baada ya wakuchapa Mabingwa Barca bao 5-1 usiku huu.Pique hoi!! akijificha uso! Gerard Piqué laomeshwa kadi nyekundu kipindi cha pili dakika ya 56.Lionel Messi alifunga bao dakika ya 43 kipindi cha kwanza na kufanya 1-0(Agg 1-4) dhidi ya Athletico Bilbao.

Aritz Aduriz dakika ya 74 aliwasawazishia bao Bilbao na kufanya 1-1 na kufanya (Agg. kuwa 1-5)

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog