Sunday, August 30, 2015


Alex akishangilia bao mara baada ya Newcastle kujifunga bao Aleksandar Mitrovic Alioneshwa kadi nyekundu ya moja kwa moja baada ya kumfanyia rafu mbaya Francis Coquelin. Bao lililowapa Ushindi Arsenal ni la kujifunga kupitia kwa mchezaji wa Newcastle United Fabricio Coloccini.Paulista akichuana vikali na Alexandar Jack na Coloccini wakimsonga mwamuziMitrovic akiondoka uwanjani mara baada ya kuoneshwa kadi nyekunduWalcott akipagawa mara baada ya kukosa bao la waziGiroud akiwania mpira wa Kichwa!Habari mbaya kwa Kocha Steve wa Newcastle United

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog