Sunday, August 30, 2015


Bakary Sako  aliwafungia Palace bao la kwanzadakika ya 65 na kufanya 1-0 kwa Crystal Palace. Bao la pili la Crystal Palace limefungwa na Joel Ward dakika ya 81. Chelsea  wana bao 1, Bao lililofungwa na Radamel ffalcao dakika ya 79 kipindi cha pili.Chelsea wakichapwa bao la pili na Crystal Palace leo. Kipa wa Chelsea akijikatia tamaa mara baada ya kufungwa na Crystal Palace.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog