Sunday, August 16, 2015


Bao la Arsenal la kwanza limefungwa na Olivier Giroud dakika ya 16 na kipindi hicho hicho Crystal Palace walisawazisha kupitia kwa Joel Ward dakika ya 28 na kufanya 1-1. Kipindi cha pili dakika ya 55 Damien Delaney alijifunga dakika ya 55 na kuwapa bao la Ushindi Arsenal na mtanange kumalizika kwa bao 2-1 Arsenal wakiibuka washindi.
Mbele ya Mashabiki 24,732.
Mbele ya Mashabiki 24,732.


Fowadi wa Arsenal, Alexis Sanchez
Difenda Damien Delaney akijifunga!

1-1
Olivier Giroud akituma salaam dakika ya 16
Mambo safi!! Arsene Wenger akipongeza pamoja na Viongozi wengine

Kipa Petr Cech

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog