Monday, July 27, 2015

mail.google.comn
Mwanariadha wa Polisi Tanzania Fabian Nelson (wa pili) akipambana na wanariadha wengine katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO) yanayoendelea nchini Swaziland.Fabian Nelson alishinda medali ya Fedha baada ya kushika nafasi ya pili katika mbio hizo.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi, Swaziland).
t
Mwanariadha wa Polisi Tanzania Fabian Nelson (kushoto) akishangilia na wanariadha wenzake kutoka Zimbabwer baada ya  kuvalishwa medali ya fedha baada ya kushika nafasi ya pili  katika mbio za kilomita 10000 katika uwanja wa Mavuso nchini Swaziland wakati wa Michezo ya majeshi ya polisi kwa nchi za kusini mwa Afrika(SARPCCO) inayoendelea nchini Swaziland.nafasi ya kwanza na ya tatu ilikwenda kwa wanariadha kutoka Jeshi la Polisi la Zimbabwe.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog