Friday, July 24, 2015



article-2703330-1FE75F6800000578-371_634x509
Zaidi ya saa 48 zimepita toka habari kuhusu uhusiano mbaya kati ya mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno anayeichezea Real Madrid ya Hispania Cristiano Ronaldo na kocha wa Real Madrid Rafael Benitez zianze kuchukua headlines, na kuna ishu ambayo imekuwa ikiandikwa pia kwamba Ronaldo hana furaha Madrid na huenda akarejea Man United.
BARCELONA, SPAIN - OCTOBER 07:  Cristiano Ronaldo of Real Madrid celebrates scoring his sides opening goal during the la Liga match between FC Barcelona and Real Madrid at the Camp Nou stadium on October 7, 2012 in Barcelona, Spain.  (Photo by Jasper Juinen/Getty Images)
Hata hivyo Manchester United huenda ikaweka rekodi ya kumkurudisha Cristiano Ronaldo baada ya miaka sita toka aondoke klabuni hapo na kujiunga na Real Madrid ya Hispania kwa dau lililoweka rekodi ya dunia pound milioni 80.
Cristiano-Ronaldo-5
Licha ya kuwa Manchester United hadi sasa imewasajili Memphis Depay, Matteo Darmian, Bastian Schweinsteiger na Morgan Schneiderlin ziko stori pia kwamba wanataka kuimarisha Kikosi cha timu yao kwa kumrejesha Ronaldo.
Cristiano_Ronaldo_3103380b
Ronaldo alijiunga  Man United mwaka 2003 akitokea Sporting Lisbon ya Ureno kabla ya 2009 kuhamia Real Madrid ya Hispania kwa uhamisho ulioweka rekodi ya dunia na sasa habari za yeye kurejea Man United zimezidi kuenea baada ya kupishana kauli mazoezini na kocha Rafael Benitez wakiwa Australia.
Cristiano+Ronaldo+Manchester+United+v+West+CBbY4ruN-Chl
Nimekuwekea video hapo chini ya kilichotokea kati ya Ronaldo na Benitez na kusababisha kuwepo story nyingi kwamba hawako kwenye uhusiano mzuri kwa sasa.

0 maoni:

Post a Comment

waliotembelea blog