Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Mbrazil, Andrey Coutinho akishuka kwenye basi la Yanga muda mfupi uliopita tayari kwa mechi ya saa 10:00 dhidi ya KMKM ya Zanzibar
Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ (mbele) na Haruna Niyonzima (nyuma yake) wakielekea vyumba vya kubadilishia nguo tayari kwa kipute cha Kombe la Kagame dhidi ya KMKM
Joseph Zuttah kushoto anaanzia benchi leo
Kocha msaidizi wa Yanga na kocha mkuu wa Taifa Stars, Charles Mkwasa atakuwa kwenye benchi la ufundi akimsaidia mkuu wake, Mholanzi, Hans van der Pluijm.
0 maoni:
Post a Comment