Uliwahi kufikiria kuna beach zinajengwa ndani ya majengo? katika
nchi nyingi zilizoendelea hilo ni jambo la kawaida kuwepo kwa fukwe za
kupumzika ndani ya majengo makubwa.
Fukwe
ya ndani inayoongoza kwa ukubwa zaidi duniani, inapatikana
Ujerumani..ukubwa wake ni sawa na viwanja nane vya mpira wa miguu
Krausnick Indoor Beach, kutoka Ujerumani.
Indoor Rainforest beach-Berlin
Sand Indoor beach-Newyork
Venus Fort ipo Tokyo,Japan
Sheraton Seagaia Resort-USA
Indoor Beach Resort, ipo Ujerumani
Tropical Holiday Resort, ipo Ujerumani
Waterparks ipo Canada
Bali-Pavillon Tropica-Texas
New Century Indoor beach, ipo China
Indoor Beach – Tropical Island Resort-
0 maoni:
Post a Comment